Chonde chonde Daladala msianze kusimamisha abiria tena!

Chonde chonde Daladala msianze kusimamisha abiria tena!

Kwani Tanzania kuna Corona tena?
Tumeambiwa hakuna maambukizi mapya tena, na waliokuwa wanaumwa karibu wote wanaelekea kupona!!!

Kwanini tujibane?
 
Natoa tu angalizo maana hizi taarifa za kufunguliwa shughuli za michezo, mahoteli, bar nk kunaweza kutafsiriwa kwa namna isiyofaa.

Wenye daladala mnatakiwa kubeba abiria kwa idadi ile iliyoainishwa kwenye kadi ya gari.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini wasisimamishe abiria wakati hali ni shwari BASHITE na JIWE wameishinda Corona19?
 
Sasa chondechonde ya nini? Si mmesema maombi yamekimbiza covid-19 au mnajisaulisha, we jiachie zero brain wenu bashite kasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa daladala wanataka kupiga pesa, na abiria tunataka kuwahi.

Kwa nini tusiaimame na korona imepungua?

Usitake kufanya mambo yawe magumu.
 
Back
Top Bottom