johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini wasisimamishe abiria wakati hali ni shwari BASHITE na JIWE wameishinda Corona19?Natoa tu angalizo maana hizi taarifa za kufunguliwa shughuli za michezo, mahoteli, bar nk kunaweza kutafsiriwa kwa namna isiyofaa.
Wenye daladala mnatakiwa kubeba abiria kwa idadi ile iliyoainishwa kwenye kadi ya gari.
Maendeleo hayana vyama!
Tunae Malaika Mkuu Jiwe, ameyashinda yote.Corona imeisha,mjiachie tu wabongo maana nyinyi kwa Mungu ni watu so special.