Chonde chonde Gamond na benchi lako la ufundi, kijana wenu pendwa (Guede Jr) apewe dakika 9 au 10 kwenye mechi dhidi ya Mamelodi

UZI WA AZIZ K UNAMTESA MNO
 
Hilo ni garasaaaaaa. Hapaswi kucheza kabisa!. Mchezaji haineshi juhudi yoyote na jiumbo lake kama Govindaaa asee.
 
Kabisa mkuu. Tena mechi na Azam alisababisha wachezaji wawe tisa, ni kama vile alikua amepewa red
 
Kibabage umemkumbusha uzemba alioufanya kwrnye mechi ya Azam na Yanga ?
 
Sasa usishangae huyo Guede ndio anawatoa kimasomaso, usishangane akawa yeye pekeee ndio mfungaji au akafunga goli muhimu sana.
 
Guede si ndio alifunga goli la nne kwa waarabu koko daah yaani ninyi mnataka mtu acheze vizuri mechi zote mpira haupo hivyo mimi nimemkagua Guede kwenye kupokea pass na kutoa pass na jinsi anavyolinda mpira usipotee kwa adui sijaona kama ana makosa kama mnavyomzungumzia gemu ya Azam aliepotea ni Kibabange na Muda katikati sema kocha na mashabiki hata hawakujua kosa lipo wapi ila acha tuwasikilize pia mna haki kikatiba kuongea chochote...
 
Kitaalam na kifortball pacome hatakiwi kuanza mechi ya jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…