Chonde chonde kina dada

Nadhani ili uweze kuwadhibiti vizuri na kupunguza gharama kodisha ekarusi kabisa.

Haswaa, na Ngorika lisipotosha itabidi wengine uwapakize kwenye Air Msae au Dar Express!! Tehetehetehe!
 
Kama wakaka wa siku walivyo.....! Huyo atakuwa alifanyiwa hivyo na akapoteza matumaini kabisa sasa ndo ameamua kufanya vice versa coz ndo anachokiamini kwa sasa ili moyo wake uridhike.
 
mh!ila poa tu coz wanaume wenyewe sikuizi vigeugeu.ningepata huo moyo tena ningefanya.mi nimeona mwanaume anae mtu wake lkn haishi vimaada na hata hamueshim mpenzi wake.acha wachache wapate fundisho ili akipata anaempenda kweli aone tofautii,.
 
Inauma sana aisee unapojitolea kumpenda mtu kwa moyo wako wote, akili yako yote na mwili wako wote halafu unagundua kiumbe ulikuwa unatwanga maji kwenye kinu!!...................ahi
 
naona tunamponda tu huyo mdada vipi nasi hayajatukuta ta indirectly? hasa sisi wanaume kwa michezo hiyo hatari
 
mkuu hii story umeitunga vizuri kweli, nimeipenda! Ile hao washikaji umewapa uhusika mbaya, wote mafala!
 
This approach iz useful na huwa naipenda sana.....kimyakimya
Na hao wanaume wauni pia. Sasa walienda kumsuta, kumfanyizia au kumuonesha kama wamejuana? Ndio maana wameingizwa mjini. Kama umegundua mwanamke sio muaminifu unabwaga manyanga unaendelea na shughuli zako za muhim,
 

Kheri nusu ya shari kuliko shari kamili.......................................
 
huyu dada bila shaka ana k nyingi kiasi kwamba nyingine zipo hadi mkononi. Kila mwanaume kumuhudumia kimwili si kazi ndogo ati
 
Alichofanya huyo dada ni tabia mbaya sana si nzuri kwake na jamii nzima
LAKIN mimi NAAMINI KINA SABABU ZAKE, yawezekana ni tamaa
ya kuwa na maisha mazuri zaidi yasiyolingana na kipato chake, lakin pia
Yawezekana ni kufa gazi kwa moyo wake kimapenzi baada ya
Mpenzi wake wa mwanzo kutomwonesha uaminifu, labda ameanza kuamini kuwa siku hizi hakuna uaminifu katika mapenzi.
Tufahamu kuwa unaposalitiwa na mpenzi wako unayemwonesha uaminifu 100%, halafu
akaja kukusaliti, kwa hasira basi unaweza kulipiza kisasi kwa wanaume wengine wasiohusika kabisa,
Bado naendelea kuaamini kuwa kuna sababu ya msingi iliyomsukuma huyo Bi dada kufanya hayo aliyoyafanya.

ILA PIA KATIKA JAMII WA KIAFRIKA KUNA MTAZAMO HUU,
Mwanamke akiwa na wanaume wengi anatupiwa mawe mengi sana ya lawama,dharau,majina ya kumkejeli,
,Lakin je ni wanaume wangapi wanaofanya hivi?, na wengi wao wanaona fahari kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja.
Ni wanaume wangapi wenye mpenzi mmoja tu? ,mwenye kuwa na mke peke yake pasipo kuwa na nyumba ndogo?,
Ni nani hasa chanzo cha wanawake/wake/wasichana kuvunjwa moyo wa imani kwa waume/wapenzii wao??,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…