chonde chonde kinamama mtatung'oa meno!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Kila siku naimba humu MMU kwamba majumbani mwetu jamani tunadundwa na wake/mahawara/vimada wetu.Kinamama wengi humu wamekuwa wakibisha.Kwa wanaoangalia big brother jana si mmeshuhudia mdada Lotus (mtanzania) alivyomtandika makofi mkaka Luclay (south africa)? angalau tokana na tukio hili tumeweza kuandikia wino badala ya mate!
 
hapa unataka tuhihirishe kuwa samaki wote huishi kwenye maji? kitu ambacho ni kweli
 
bishanga,physical abuse is unacceptable whether the abuser is a man or a woman and for whatever reason.tell u what,a physical abuser will never quit unless anataka kubadilika na atafany hivyo thru spiritual or proffessional help. na inasemekana akupigaye mara moja atakupiga mara ya pili.so once is too many times,to say the list! to be a victim is a choice.pole,nakutakia kila la kheri kwa maamuzi magumu yaliyoko mbele yako.
 

kwel kabisa, hii sasa ni balaa. Hivi ratb ya big brother ikoje, samahi inakuwa lini saa ngapi na chanel gani.
 
kwel kabisa, hii sasa ni balaa. Hivi ratb ya big brother ikoje, samahi inakuwa lini saa ngapi na chanel gani.

kwa wenye dstv ni full time channel 198,kuna mambo huko we acha tu
 
Jamani, in reality, kama kimada/hawara anakupiga makofi, akiwa mkeo si ndio umekwisha kabisa? be careful, nadhani hizo ni red lights
 



Kama hapa sijui unachangia nini... ngoja nifikirie...
 
Bishanga unadundwa na mkeo nini mie mke wangu hajawahi nipiga hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…