Mzee wa Masauti JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 2,199 Reaction score 2,510 Jun 27, 2019 #1 Kwa hizi siasa chafu za CCM na serikali yake kwenye mpira wetu. Leo nimefunga na kuomba Taifa Stars IFUNGWE irudi nyumbani kuunga mkoo jubudi. Kumbe Taifa stars inawakilisha serikali ya CCM badala ya Taifa. Narudia tena TUFUNGWEEEE tuwe na amani.
Kwa hizi siasa chafu za CCM na serikali yake kwenye mpira wetu. Leo nimefunga na kuomba Taifa Stars IFUNGWE irudi nyumbani kuunga mkoo jubudi. Kumbe Taifa stars inawakilisha serikali ya CCM badala ya Taifa. Narudia tena TUFUNGWEEEE tuwe na amani.
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,620 Reaction score 5,515 Jun 27, 2019 #2 Mimi na familia yangu tunakuunga mkono