Leo tena Kambenga kanyang'anya mbegu za wanakijiji wakulima lakini akazidiwa nguvu na kukimbia huku wakiacha pikipiki,jioni hii katuma askari waende kukamata watu.Kambenga hana hati ya umiliki wa mashamba hayo zaidi anatumia nakala za hukumu alizozipata kimichongo kutisha watu hata mahakamani alipotakiwa aonyeshe hati hakimu alizuia swali hilo akapeta jamani chondechonde huyu mtu analindwa utadhani ni mkubwa ndani ya serikali?