Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je umetumwa na chama gani mkuu kuja kuharibu sifa ya chuo huku JF😡😡
Ni vyema ungefafanua kwa kina zaidi hizo changamoto ili wapime kama zina uzito wa kuwafanya wasikichague.
Vyuo vikuu vyote vya private n utumbo,walim ni TAs,ada kubwa,ingawa hakuna kudisko lakin mwanafunz kuwa ATM ndo sera yao