Elections 2010 Chonde chonde nec

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
258
Kupitia matangazo ya moja kwa moja toka BBC inaonesha sehemu nyingi kuna ugumu wa kutoa au kutangaza matokeo rasmi achilia mbali yale ya awali. Hivyo watu wamekusanyika wakifikiri kuna njama, chonde chonde NEC himizeni wasimamizi kama sababu zinazochelewesha si za msingi sana watoe matokeo mapema ili kuepusha shari, Mwanza huko noma, Bwawani ZNZ noma, Arusha noma. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwa sasa amani ya sehemu nyingi ipo mikononi mwa NEC. kama hakuna sababu tusherehekee kwa amani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…