figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heshima mbele.
natumia nafasi hii kuwaasa serikali waachane na siasa kwenye maswala ya elimu.mitihani ya darasa la 7 imekuwa rahisi sana kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la 5 akiifanya anaweza kufaulu.
mwisho wa siku utaskia ufaulu wa std vii umeongezeka kutoka % fulani.hii siyo njia ya kutatua matatizo ya Tanzania.muhimu ni kuwajali walimu na kuwawezesha nyenzo za ufundishaji.la sivyo elimu yetu itaendelea kua duni.
nasubmit.
mia