GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji23]Inasemekana kwamba Kenya wamezindua ' Kifaa ' maalum ambacho kinaweza kumjua Mtu Muongo sekunde, dakika na saa yoyote ile na kwa jinsi Watanzania wenyewe wa ' Kada ' mbalimbali tunavyojijua ni ' Waongo ' wa Kutukuka na tumebarikiwa katika hilo kama kikija kuna uwezekano ' Makaburi ' mengi yakajaa upesi na ' Mochwari ' kukafurika huku Biashara ya ' Majeneza ' ikashamiri hapa nchini.
Nawasilisha.
Inasemekana kwamba Kenya wamezindua ' Kifaa ' maalum ambacho kinaweza kumjua Mtu Muongo sekunde, dakika na saa yoyote ile na kwa jinsi Watanzania wenyewe wa ' Kada ' mbalimbali tunavyojijua ni ' Waongo ' wa Kutukuka na tumebarikiwa katika hilo kama kikija kuna uwezekano ' Makaburi ' mengi yakajaa upesi na ' Mochwari ' kukafurika huku Biashara ya ' Majeneza ' ikashamiri hapa nchini.
Nawasilisha.
Mkuu CDM wataumbuka sana! Wakina Lema, Msigwa, Mnyika nk. Nafikiri mnajua walivyokuwa wanatuaminisha kuhusu Lowassa wengine walimshirikisha hata Mungu wao ili kuhalalisha uongo wao!!Mimi naona kwa jinsi nilivyo Muongo kabla hata hakijawashwa tu kitagoma kama siyo kunikataa kabisa. Mimi tisa sasa kumi kuna Mtu mmoja ( jina nalihifadhi ) ni Kiongozi mzuri na mkubwa sana wa ' Imani ' hapa Tanzania na kila awepo lazima ' Nyomi ' liwe kubwa hiki Kifaa kikienda tu Kwake kuna uwezekano mkubwa wale ambao amekuwa akiwahubiria kwa Kipindi chake chote wakazidai Sadaka zao zote kwani kama kuna Mwalimu wa Uwongo kwa sasa nchini Tanzania anaweza akawa ni Kinara au Naibu.
Kama namuona vile!
Shikamooni Wakenya.
Kuwa lowassa ni fisadi? Lini imekuwa uongo kwani?Mkuu CDM wataumbuka sana! Wakina Lema, Msigwa, Mnyika nk. Nafikiri mnajua walivyokuwa wanatuaminisha kuhusu Lowassa wengine walimshirikisha hata Mungu wao ili kuhalalisha uongo wao!!
Mbona 2015 walikuwa tena wanawaaminisha watz kuwa anafaa kuwa Raisi wa nchi hii? Kwahiyo walikuwa wanataka watz wachague fisadi au??Kuwa lowassa ni fisadi? Lini imekuwa uongo kwani?
tena huyo Jamaa jinsi alivyokuwa Muongo nadhani hicho kifaa kinaweza hata Ku stuckvije tu,tena vitafaa sana kwa yule malaika mkuu,
ha haha hahaa"" Huyo Jamaa uliye mzungmzia katika hii fasihi hata shetani ana kaa benchi hachukui namba mbele yake "" .....nahisi uwongo ulianzia kwake kabla ya kutapakaa dunia nzimaMimi naona kwa jinsi nilivyo Muongo kabla hata hakijawashwa tu kitagoma kama siyo kunikataa kabisa. Mimi tisa sasa kumi kuna Mtu mmoja ( jina nalihifadhi ) ni Kiongozi mzuri na mkubwa sana wa ' Imani ' hapa Tanzania na kila awepo lazima ' Nyomi ' liwe kubwa hiki Kifaa kikienda tu Kwake kuna uwezekano mkubwa wale ambao amekuwa akiwahubiria kwa Kipindi chake chote wakazidai Sadaka zao zote kwani kama kuna Mwalimu wa Uwongo kwa sasa nchini Tanzania anaweza akawa ni Kinara au Naibu.
Kama namuona vile!
Shikamooni Wakenya.