Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
6,172
Reaction score
6,884
Habari wadau!!
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi ngumu lakini bila ushindi ni kazi sana Kuwa bingwa.
Mechi ya Mbeya city, Tz Prison, Lipuli, Yanga, na Mtibwa yaani Leo ni mechi za Ubingwa kabla hatujamfikiria Singida utd Hawa ndio watakao Tuzuia .

Tuanze Leo
 
Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…