Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Mkuu nakukumbusha tu ukiwa unatembea huko uchi chonde chonde usisahau kutuwekea tupicha na tuvideo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…