Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Umefika wapi sasa hiviSimba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Kuna chalii nimepishana nae anatembea uchi kuja Dar maeneo Kingolwila.....huenda ni yeye!😀😀😀Umefika wapi sasa hivi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna chalii nimepishana nae anatembea uchi kuja Dar maeneo Kingolwila.....huenda ni yeye!😀😀😀
Bora ata hujam-pm ungeongeza list ya bureNikufate pm nikuachie no utume hiyo hela au nimwambie davet akupm
Ndio imetikiHabari wadau!!
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi ngumu lakini bila ushindi ni kazi sana Kuwa bingwa.
Mechi ya Mbeya city, Tz Prison, Lipuli, Yanga, na Mtibwa yaani Leo ni mechi za Ubingwa kabla hatujamfikiria Singida utd Hawa ndio watakao Tuzuia .
Tuanze Leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora ata hujam-pm ungeongeza list ya bure
Mkuu umefika wapi Mpaka sasa hivi,Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Yupo mlandiz kuna jamaa kantumia picha MTU yupo uchiMkuu umefika wapi Mpaka sasa hivi,
HaaaaaNa ufeeee tukuzikee simba hatuna mchezooo,mademu wakale wote tuko simbaaaa
Manunuzi FC.........Habari wadau!!
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi ngumu lakini bila ushindi ni kazi sana Kuwa bingwa.
Mechi ya Mbeya city, Tz Prison, Lipuli, Yanga, na Mtibwa yaani Leo ni mechi za Ubingwa kabla hatujamfikiria Singida utd Hawa ndio watakao Tuzuia .
Tuanze Leo
Mmh!! Nitakuja maana napenda kukaa karibu na ua walidNa ufeeee tukuzikee simba hatuna mchezooo,mademu wakale wote tuko simbaaaa