Abeee
Hiyo unayonipa ni yangu ila kaka bonny iongeze basi ifike kwenye 50 jamaniMie nakupa wewe utaamua kama umpe au lah
Asanteee
Hahaha mtu unakulwa bila kupendaHakuna za namna hyo kabisaa
Hahahah hiyo ni yangu kumbe sio yakoHahah pale ambapo mtakuta sipo online [emoji38] [emoji38] wiki nzima
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Dada we upo kwa mashahidi wangu nipo kwa kubetting hapa simba ikishinda au ikishindwaAbeee
Hapana Mkuu ,tafadhali usifanye ivyo,!!!!Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
We WAP mamy ungana na mwenzio shunie kwenye kubet leoNa tunashindaaa
Acha basii [emoji15] [emoji124]Hahahah hiyo ni yangu kumbe sio yako
Hahahhh niache nini wewe tuendelee vile vile tulivyopanga 20 kwa 20Acha basii [emoji15] [emoji124]
Sawa [emoji124] [emoji124] ndo naenda kwa babu !!Hahahhh niache nini wewe tuendelee vile vile tulivyopanga 20 kwa 20
Hahahaa ole wako ukimbieSawa [emoji124] [emoji124] ndo naenda kwa babu !!
Hahahaa ole wako ukimbie
Umeanza na kubet sasa?!Dada we upo kwa mashahidi wangu nipo kwa kubetting hapa simba ikishinda au ikishindwa
Simba tunashindaaaaWe WAP mamy ungana na mwenzio shunie kwenye kubet leo
Karibu Tubet. ... Mi simba haishindSimba tunashindaaaa
Utaonaa tema mate chiniiKaribu Tubet. ... Mi simba haishind