Sapanda Ileje
Member
- Dec 2, 2017
- 51
- 55
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Sidhani kama utafika hata chalinze kabla hujatafunwaSimba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Ahhahaha kubet ya kushinda dada simba wakishinda napewa 20 ikifungwa natoa mmUmeanza na kubet sasa?!
Mkuu hiyo avatar yako [emoji28] [emoji28] [emoji16]Dyudyu itakuwa
Imefanyeje[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mkuu hiyo avatar yako [emoji28] [emoji28] [emoji16]
Ntakuwepo na simu kwa ajili ya kukurekodiSimba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Beti pesa bana uchi utaenda uoneshe chooni au bafuni huko hatuna shida nao halaf simba watashinda ujue hilo.Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Beti pesa bana uchi utaenda uoneshe chooni au bafuni huko hatuna shida nao halaf simba watashinda ujue hilo.Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Tubet nn mama nakusubirUtaonaa tema mate chinii
Simba tunawapiga mtibwa 4-0Tubet nn mama nakusubir
Tubet nn mamaaa mbna maneno meengiiSimba tunawapiga mtibwa 4-0
Nishakuambia au huelewiTubet nn mamaaa mbna maneno meengii
Tubeti hela au ... Hujui kubeti [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji124] [emoji124] [emoji124] aisee shunie njoo umwone mwenzako hukuuNishakuambia au huelewi
Pesa tunapeanaje hapa wewe?Tubeti hela au ... Hujui kubeti [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji124] [emoji124] [emoji124] aisee shunie njoo umwone mwenzako hukuu
Hamsin itafika simba akishinda una presha gan?Hiyo unayonipa ni yangu ila kaka bonny iongeze basi ifike kwenye 50 jamani
Asee yaani MUNGU awapendelee simba hakuna kwani sie wa mtibwa tumemkosea nini!Mungu atasaidia
Dah! Mkuu ushafanya yako nini kwa kutumia taaluma ya Mshana Jr? Sio kwa kujiamini hukoSimba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!