Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Eeeehh Mola Wangu Naomba Ulifanikishe Hili La uyu Muombaji,
Mola Wangu Naombaa, Nakuomba Mola Hili Tuuh
 
Hivi kwanini Mo Ibrahim hayupo hata kwenye sub?kweli mavugo ni zaidi ya Mo?....kila kocha kwanini anamwacha huyo dogo hata kwa sub
Yupo kwenye mgomo baridi anataka kumfata rafiki yake Ajib
 
Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
umejificha nyuma ya keyboard unaongea pumba kama mwanaume kweli weka details tukukabidhi kwa wana hapo Moro ili game ikiisha utimize ahadi yako.....wakutembeze na ndoga zako hadi dar
 
Simba huwa anatushikia pointi kwa muda halafu badae anatukabidhi,nadhani mmenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…