Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Simba hawezi kushinda hiyo mechi katu! Kama Simba akishinda ntatembea uchi kutoka Moro uwanjani baada ya mechi hadi dar. Trust me!
Uchi wako unanini hadi ututishe sisi nani asiyejua uchi tuambie kitu kingine kama labda kumpindua raisi n.k sio maswala ya uchi ambao kila mtu anao ata ukigoogle unaona uchi
 
Hivi kwanini Mo Ibrahim hayupo hata kwenye sub?kweli mavugo ni zaidi ya Mo?....kila kocha kwanini anamwacha huyo dogo hata kwa sub
Ana kipaji ila alikua mtovu wa nidhamu kwa kutohudhuria mazoezi mbali na ivyo asingeweza kukosa first eleven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…