Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Sijaelewa vizur nielekeze tena [emoji3]Umeelewa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe unakunywa Kung Fu?
Anakimbiza bahati sababu yeye ni yanga etiNaona anakimbiza bahat nisimuone muda wa ushind hapa
Davet atakuelekeza vizuri tukishindaSijaelewa vizur nielekeze tena [emoji3]
Ahaa kumbe huyo Yanga ndio maana basi alichelwa kutoka kifungoniAnakimbiza bahati sababu yeye ni yanga eti
Hahahah ngoja akujeAhaa kumbe huyo Yanga ndio maana basi alichelwa kutoka kifungoni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unakijua hiko kinywaji kwani aliletewa siku moja bado kidogo azime kaagiza redbull akaambiwa sijui imeisha akaletewa hiyo mpaka alienda hosptal
Hapana jamaniUmetumwa?
Hapana mwaya, aki kuna siku kidogo nikufweKumbe unakunywa Kung Fu?
MmmhAhaa kumbe huyo Yanga ndio maana basi alichelwa kutoka kifungoni
Natumia maji mie
Mngeshanisahau aki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unakijua hiko kinywaji kwani aliletewa siku moja bado kidogo azime kaagiza redbull akaambiwa sijui imeisha akaletewa hiyo mpaka alienda hosptal
Hahaha ulivyojibu kwa upoleHapana jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmmh
Ha ha ha si kile cha joti duuh lazma azimie aisee embu muite mwambie kuna kung fu nne kwa ajili yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unakijua hiko kinywaji kwani aliletewa siku moja bado kidogo azime kaagiza redbull akaambiwa sijui imeisha akaletewa hiyo mpaka alienda hosptal
Anaweza kunipa ban huyo, simuamini saaanaHahaha ulivyojibu kwa upole
Ha hha hha muite miss Kung FuHahahah ngoja akuje
Nikiona tu bango la kungfu nakukumbuka sana darasa kanyanyua mikonoMngeshanisahau aki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha si kile cha joti duuh lazma azimie aisee embu muite mwambie kuna kung fu nne kwa ajili yake