only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
..Katika hali ya kuonekana kana kwamba ni kutumia vyuo vya elimu ya juu kupata umaarufu Jakaya Kikwete ameendelea kujinyakulia Phd kama nyanya sokoni...Kwa wasomi na watu makini wanaweza tambua tatizo linaloendelea nchini mwetu.JK baada ya kushindwa shule(Kukimbia umande) sasa anatumia vyuo vya elimu ya juu hasa vya UMMA kujipatia umaarafu wa bei chee..Tunapaswa kujiuliza hivi hizi Phd zote kwa lipi hasa alilotenda kwa watanzania? Tuache porojo zisizo na msingi bali tufanya tafiti makini....
Muono wangu:
Vyuo vyote vya UMMA vyenye sifa ya kutoa Phd vimemtunuku JK hizo Phd za bei chee isipokuwa SUA na MU ndio hawajampa huyu jamaa hizo sifa za kijinga..Ombi langu CHONDE CHONDE,MU na SUA okoeni jahazi la elimu linazama...........