Elections 2010 Chonde chonde tanesco,msikubali kutumika igunga kesho

Elections 2010 Chonde chonde tanesco,msikubali kutumika igunga kesho

BENSON MSEMWA

Member
Joined
Aug 10, 2010
Posts
30
Reaction score
2
Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo tanesco,hatutaki giza igunga
 
Kwani umeme si ni tatizo la kitaifa? Acha visingizio!
 
Back
Top Bottom