B BENSON MSEMWA Member Joined Aug 10, 2010 Posts 30 Reaction score 2 Oct 1, 2011 #1 Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo tanesco,hatutaki giza igunga
Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo tanesco,hatutaki giza igunga
M Mbopo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2008 Posts 2,532 Reaction score 414 Oct 2, 2011 #2 Kwani umeme si ni tatizo la kitaifa? Acha visingizio!