singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Leoa asubuhi kama kawaida yangu nilikwenda kanisani kwetu hapa Gongolamboto, ulongongoni palokia mpya ya PIO, baada ya kumaliza misa alipanda baba paroko na kuanza kutoa matangazo na tangazo la kwanza alililoltoa lilikuwa la katiba inayopendekezwa.
Baba paroko alitusomea waraka wa maaskofu wa jukwaa la wakristo Tanzania wote kama walivyoutoa maaskofu hivi karibuni, baba paroko alitusisitizia twende tukajiandikishe vilivyo kwenya daftari la wapiga kura na lakini siku ya mwisho tupige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa moja ya madai aliyotoa ni katiba hiyo itawanufaisha baadhi ya wanasiasa na haina mashiko kwa watanzani.
Pia alisema alitwambia kuna jambo linguine tutambiwa iwapo katiba pendekezi itapita na pamoja na ishuu ya mahakama ya kadhi ikiwa ndani yake tutaambiwa nini cha kufanya.
Kwa kweli pamoja name nikiwa ni muumini wa kikristo wa Ramani Katolic lakini sikupendezewa na tangazo hilo lilionyesha dhahiri viongozi wetu hawa wamegeuka kuwa mawakala wa siasa badala ya kutoa huduma ya kiroho kwa mujibu bwana mungu wetu.Lakini lingine nikawa najiuliza kuna jambo gani nyeti la ambalo tutaambiwa baadaye ikiwa mahakama ya kadhi itaingizwa katika katiba pendekezwa, kuna jambo gani nyuma ya pazia ambalo hatulijui sisi waumini wao?
Napenda kuwasihi viongozi wetu wa dini huu wanaoufanya ni uchochezi na dhambi kwa mungu , ndio maana maisha yao hayafanani kabisa na bwana yesu kristo, wamekuwa wakiishi kifahari kuliko wafuasi ya Yesu wa awali.
Wamekuwa wanapondana kila leo na kutukanana kwa ajili ya kutugombania sisi waumini ambao wametufanya wajinga kiasi ambacho hatuwezi kujiamulia mambo yetu katika jamii na wamekuwa na wakituamulia mambo ambayo si ya kiimani kwa ridhaa yao.
Tafadhali viongozi wa dini acheni demokrasia ichukue mkondo wake badala na mchezo mchafu mnaoufanya wa kubaka demokrasi.