Chonde Chonde Wazenji!

Chonde Chonde Wazenji!

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,741
Reaction score
511
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization) kutaendelea kama kawaida. Ahsante!
 
hahahaaaa mkuu, kumbe muungano kwa wengine una tafsiri tofauti kabisa?
 
Ni kweli muungano tuuvunje ila kujamiiina kubakie pale pale! Ila wazenji mabinti zao wote wamekwisha......ila utawakuta ni bikra lakini!!!!
 
Back
Top Bottom