MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Nov 11, 2011 #1 Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization) kutaendelea kama kawaida. Ahsante!
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization) kutaendelea kama kawaida. Ahsante!
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,824 Reaction score 2,264 Nov 11, 2011 #2 hahahaaaa mkuu, kumbe muungano kwa wengine una tafsiri tofauti kabisa?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 11, 2011 #3 Ni kweli muungano tuuvunje ila kujamiiina kubakie pale pale! Ila wazenji mabinti zao wote wamekwisha......ila utawakuta ni bikra lakini!!!!
Ni kweli muungano tuuvunje ila kujamiiina kubakie pale pale! Ila wazenji mabinti zao wote wamekwisha......ila utawakuta ni bikra lakini!!!!
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Nov 11, 2011 Thread starter #4 Jaluo_Nyeupe said: hahahaaaa mkuu, kumbe muungano kwa wengine una tafsiri tofauti kabisa? Click to expand... Ndio hivyo mkuu, mapenzi ya pwani usipime kabisa! Wasinfanyie hivyo
Jaluo_Nyeupe said: hahahaaaa mkuu, kumbe muungano kwa wengine una tafsiri tofauti kabisa? Click to expand... Ndio hivyo mkuu, mapenzi ya pwani usipime kabisa! Wasinfanyie hivyo
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Nov 11, 2011 Thread starter #5 Elli said: Ila wazenji mabinti zao wote wamekwisha......ila utawakuta ni bikra lakini!!!! Click to expand... Hebu fafanua kidogo mkuu wangu.
Elli said: Ila wazenji mabinti zao wote wamekwisha......ila utawakuta ni bikra lakini!!!! Click to expand... Hebu fafanua kidogo mkuu wangu.