Elections 2010 Chonde ndonde NEC, CCM na Serikali wapeni wananchi haki yao kuepusha maafa

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
Tunawasihi CCM, NEC, na serikali waheshimu maamuzi ya wananchi. Majimbo yote ambayo upinzani umeshinda kihalali matokeo yatangazwe pasipo kuyachelewesha. Msiwalazimishe watu watumie hulka ya unyama wao uliojificha milini mwao katika nchi yetu.

Dalili za kuchachachua matokeo zinaonekana wazi katika majimbo ya Ilemela, Nyamagana, Mbeya mjini, kwa sasabu haya ni majimobo yaliyopo mjini hivyo majimbo haya hayawezi kuwa nyuma kwa namna yoyote katika kutoa matokeo kuliko maswa, meatu na longido, tandahimba na mtwara vijijini. Tunawasihi sana tendeni haki haraka iwezekanavyo.
 
Mambo ya uchelewashwaji matokeo
 

Attachments

  • aaamoto.jpg
    13.4 KB · Views: 38
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…