ndo hayo ya daktari na mgonjwa wanakutana foleni kwa babu.
Naomba kwa atakayeguswa na hili anisamehe nimelileta hapa kwa manufaa ya umma!
Taarifa ya tiba ya babu imeleta tatizo lingine kwenye mahusiano .Baada ya couples kadhaa kudanganya kuwa wanaenda safari za kazi kumbe wanaenda kwa Babu .matokeo yake wenza wao walipogundua ndoa /mahusiano yameingia matatizo .Kama unaamini tiba ya babu na mwenzio haamini ,muelimisha aelewe na uende kwa amani .hii kudanganya na baadaye mwenzio anagundua ni hatari kwa penzi lenu.
ndo hayo ya daktari na mgonjwa wanakutana foleni kwa babu.
Kwa babu wandugu muhimu kuhudhuria iwe kwa kudanganya au kwa kwenda wote
naomba jina la daktari mmoja tu aliyefika kwa babu.
Mimi nimeenda, unanijua? Naitwa dr adriano kasasa.
Heri hili waliowadanganya mabos na kukutana nao live kwa babu?