CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

TV 1 nadhani ndio TV station bora zaidi kwa bongo kwenye suala la michezo na burudani haipiti siku sijaangalia
 
Mwe, sijalipia kifurushi miezi mitatu, hiyo TV1 ndio nilikuwa nazugia zugua wameitoa tena? basi watupe mbadala wake ya bure.
 
Nahisi tatizo TV1 wanaonesha kombe la mabara na startimes ndio wamepewa kuonesha hizo mechi. Naona wameleta kikwazo kwa azam nao azam hawataki kuweka wazi
Azam very arrogant and have that dogmatic character. Tatizo lao wamezidi kujiona wako too above everyone and everything. Wajiangalie
 
Sijawai lujutia kuwa mtumiaji WA lingamuzi cha azam TV. Kwani ndio TV iliobora kwa sasa nchini tarifa ya habari utafikiri aljazeera
 
Walitoa tangazo kwenye facebook kuwa wameshindwa kufikia makubaliano na Tv 1 hivyo kuanzia Jumatatu isingeonekana ila kuna channel mpya ya michezo italetwa
 
Nahisi tatizo TV1 wanaonesha kombe la mabara na startimes ndio wamepewa kuonesha hizo mechi. Naona wameleta kikwazo kwa azam nao azam hawataki kuweka wazi
Ila continental wanaomesha kupitia TV1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…