Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Si ajabu aliambiwa arudi nyumbani akapumzikeInasikitisha sana.
Inasikitisha, halafu wamekuja na sheria ya zuio la kufunga CCTV kamera majumbani,sasa hata uhalifu ukitokea utajuaje kama watazuia watu kufunga CCTV camera majumbani??Hata watu walikuwa wamepumzika nyumbani wakafuatwa na vibaka wa policcm na kuuwawa majumbani October 29.
Na unaambiwa Mama yake ndie aliemuuza ila nae pia alilia kinafiki tu ili ionekane na yeye ameumiaMarehemu hana baya, hata osama bin laden baada ya kufa watu walilia.
Haitosaidia na haitekelezeki , mtu huwezi kumlazimisha ujue camera za ulinzi kafunga wapi huo hautokuwa ulinzi tena wa nyumbani kwake.Inasikitisha, halafu wamekuja na sheria ya zuio la kufunga CCTV kamera majumbani,sasa hata uhalifu ukitokea utajuaje kama watazuia watu kufunga CCTV camera majumbani??
HEh!!.Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.
Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge.
Hivi ni yule Chongolo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu?Huyu atavuliwa uwaziri
Ndiyo huyo huyo! Amemfanyia figisu Jah People na uchawa wake wote kule Makambako, akalitwaa jimbo kiulaiini!Hivi ni yule Chongolo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu?
Haya makapi ynazungukia tu humo humo wakati hayana lolote la maana yanalolifanyia taifa.
Ndio yale ya rais yuko vizuri anapiga kazi, kumbe kashafariki!Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.
Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
Akizungumza leo Machi 25, 2026 msibani nyumbani kwa marehemu eneo la Area D, jijini Dodoma, Chongolo amesema taifa limepoteza mtu muhimu mwenye uzoefu, hekima na busara ambazo bado zilihitajika kulisaidia taifa pamoja na Bunge.
Huyu hata hii modeli ya kichwa chake utajua ni hamnazo fulani hivi.Hivi ni yule Chongolo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu?
Haya makapi ynazungukia tu humo humo wakati hayana lolote la maana yanalolifanyia taifa.