Pre GE2025 Chongolo na makundi ya Urais, Rais Samia hatopata Katibu Mkuu

Pre GE2025 Chongolo na makundi ya Urais, Rais Samia hatopata Katibu Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Skyway

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2019
Posts
293
Reaction score
313
Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati.

Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana liweke mtu wake
DANIEL CHONGOLO anapambana asipatikane Katibu mkuu atakayefukua kashfa zake za ufisadi:

Anahaha kuchafua watu wote anaona watakuja kufukua madhambi yake KUNDI LA URAIS 2025 wapo wanaokusudia kumsaliti Samia hivyo mtu ambaye hawako naye atakuwa kikwazo.

KUNDI LA URAIS 2030
Hili kundi lipo active linaratibu majina ya wanaotajwa nafasi Ukatibu mkuu na wapinga vikali hata majina ya wanaohisi watagombea URAIS 2030;

Mmoja anayetajwa kuwa Katibu mkuu wamekuwa wakimchafua kuwa huyu Ana misimamo; huyu atajipanga ndani ya Chama na akiamua kugombea 2030 Atawashinda.

Hivyo MAKUNDI haya matatu yanapambana kwa hila; kuchafua watu kwa maslahi Yao
 
Back
Top Bottom