Mi nmehtm Form4 2011, matokeo yalikua mazur ningeweza kuchaguliwa special school yoyote, but nlichagua dit TEL. kama 1st choice na ndiko nlikopangiwa. Problm ni kwamba wa2 wanasema nlifanya chaguo si sahihi coz elim ya form6 ni must nmeingia choo cha kike bora ningeenda A lvl.!! Wameniambia kua cheti cha form6 ni moja ya cv muhimu ya kupata ajra apo mbele. Naombeni ushauri wenu kk & dd zangu, kichwa kinauma cjui nifanye nini!!!!...