Weka cha kukaa, ufungue kiwanda cha UTIMwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi kupata magonjwa. Kwa sasa imekuwa tofauti kabisa, choo changu pale nyumbani ni cha kuchuchumaa, tumbo limekuwa kubwa na pia uwezo wa kuchuchumaa muda mrefu nikikata gogo umepungua, nimejikuta nachuchumaa kidogo halafu nasimama halafu tena nachuchumaa kuendelea kukata gogo.
Mwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi kupata magonjwa. Kwa sasa imekuwa tofauti kabisa, choo changu pale nyumbani ni cha kuchuchumaa, tumbo limekuwa kubwa na pia uwezo wa kuchuchumaa muda mrefu nikikata gogo umepungua, nimejikuta nachuchumaa kidogo halafu nasimama halafu tena nachuchumaa kuendelea kukata gogo.
kwani kumwelekeza mtu jinsi ya kutatua tatizo lake siyo elimu?