Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Likely dating to between 2,200 and 2,400 years ago, the toilet — consisting of a bowl and pipes leading to an outdoor pit — was unearthed in the ruins of the palace in Yueyang City Ruins, an archaeological site in Xi'an, the capital of Shaanxi province in central China.
The ancient lavatory was likely used by high-status officials throughout China's Warring States Period (475 B.C. to 221 B.C.), when rival states fought one another for dominance and territorial control, until the Qin state emerged victorious. The first emperor of the Han dynasty, which followed the Qin dynasty, likely also used the commode about 2,200 years ago. The researchers added that the toilet didn't flush automatically; servants poured water into the bowl after each use.
—Live Science .
Vumbuzi za kihistoria hubadilisha mengi kuhusu Siasa, Sera, Ubabe wa mataifa, imani za dini—ndio maana mataifa makubwa yote duniani, yanawekeza sana kwenye utafiti wa kihistoria (Archeology), kwani vumbuzi moja yaweza badili mengi—China katika safari yake ya 'ukubwa' duniani, anatambua hilo ndio maana anawekeza sana kwenye tafiti za kihistoria. Siku kadhaa zilizopita umefanyika uvumbuzi wa choo cha kuflush cha kale zaidi huko Uchina, chenye miaka zaidi ya 2000. Matumizi ya Choo ni alama ya Ustaarabu, Uchumi, Sayansi. Huu ni ushahidi wa namna gani Uchina ilikuwa imeendelea kwa miaka mingi kale.
Amerika, Maeneo ya Iraq ya leo na Uchina, ni maeneo ambayo yalianza kupiga hatua kubwa sana kiuchumi, sayansi yote ni kwa sababu ya kuwa jamii za kwanza kwa ufugaji na Ukulima. China zaidi ya miaka 3000 iliyopita ilikuwa imepiga hatua katika utawala, sayansi—mfano wao ndio watengenezaji wa bunduki wa kale zaidi. Uvumbuzi huu wa Choo 'cha kisasa', ni ushahidi wa namna gani uchina ilikuwa imepiga hatua.
Uvumbuzi huu unamaana nyingine kubwa—KUBADILISHA REKODI. Uingereza ndio ilikuwa ikitambuliwa kuwa wao ndio wavumbuzi wa Choo cha kuflush duniani, ambapo John Harington alipotengeneza choo hiki kwa ajili ya Malkia Elizabeth wa kwanza, mwaka 1596.