Choo cha passport size

Huwa wanapima uzito wa mzigo unao toa kama ni kimba basi likidondoka ngiiiiiiiiii tayari maneno nje

Na hapo wanamsema mkeo anaambiwa ajitahidi kupika vizuri mumewe asipate shida au unaambiwa uongeze gharama za kufanya usafi
 
Uswazi unajua hakuna choo na bafu
Choo ndicho hicho hicho bafu so mtu anaingia kule na mambo mawili
Kama una tumbo hapo limechafuka ujue utasababisha foleni kwa watu nje kinoma



Sasa kama hiki utagawaje bafu na choo vyote viwili ni humo humo
 


Magorofa yaliyopo uswazi
Huwa wanaangalia picha live angalia hapo
 
Duh mkuu uswazi noma sana hizo ghorofa za uswazi balaa
 
Hapo shughuli pevu,maana wakati mwingine mambo ya kikubwa yanaweza kufanyika hukohuko bafuni,sasa hapo wapiga chabo si watajinoma porn movie ya bure?
 
nimegunduaaaaaaaaaaaa kumbe mamemba humu wote ni vibopa hakuna anayeishi uswazi kasoro Bishanga Abashaija,hongereni zenu na mimi ngoja niende kwa babu mlingotini anisafishie nyota labda kitanichanganyikia na mie nihamie kwenu masaki.
 
Ni rahisi ukiopoa mtoto wa uswazi unaishi kiuswazi swazi na ukiwa na wale wa Obey au Njiro basi unageuka kigeugeu kama popo na yoyo nyingi sana.
 
mambo ya kwetu hayo.. bom bom, kijiwe samli mpaka kwa gude!
 
Mara kadhaa nilizobahatika kukatiza mitaa ya uswazi huwa kina dada na kina mama wanapenda kukaa hasa jioni wakijielekeza usawa wa hiyo WC. Unakuta ametoka zake kibaruani na vimaji sijui robo ndoo na kijitaulo kimeisha ndani ya guni ana kitaulo kinaning'inia.....kuko nje utasikia hoohohohooo haloooooo... nilikuwa najiuliza kulikoni hasa vicheko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…