Choo kigumu (kama jiwe)

Saiv una malinda bado?
 
Sio Mimi mkuu, ni waja wa dunia hao 🤣😂.
Sema itakuwa hiyo out ndo Wana zungumzia athari zake 😂
Dah hawanitakii mema mwenzao
Punguza kula magimbi mkuu
Siyapendi na hata ladha yake siikumbuki
Kunywa maji ya kutosha, kula matunda kama maparachichi na mapapai. Usiwe mvivu kwenda msalani, nenda msalani kila siku hakuna cha privacy binadamu wote tunakunya.
Yani leo nakunywa maji kama kichaa sema nahofia nikienda toi alafu kutonesha kidonda
Kwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo
NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
Poa ila mazoezi gani hayo
Duh mkuu kutafuna tena kumeza vipi?
 
Kwanza apo uliposema hupendelei majani Hilo ndo tatizo mana mboga za majani Zina nyuzinyuzi zinasaidia katika kulainisha chakula inasaidia kuzuia choo kigumu . Chengine ongezea na matunda nayo Yana nyuzi lishe pia na maji mengi kunywa sana tu
 
Kwanza apo uliposema hupendelei majani Hilo ndo tatizo mana mboga za majani Zina nyuzinyuzi zinasaidia katika kulainisha chakula inasaidia kuzuia choo kigumu . Chengine ongezea na matunda nayo Yana nyuzi lishe pia na maji mengi kunywa sana tu
Poa leo nitapiga ndizi kwa sana
 
Sijazoma uzi wako lakini nakushauri kapime minyoo au jitahidi kufunga kula walau mara 2 kwa wiki
 
hii kitu ya kimba gumu wazee wa upinde haiwatesi ? au ndio mnafurahia leba experience
 
Yaani una kipato kidgo alafu unachagua chakula? Na mbaya zaid unajisifu kwamba huli mboga za majani.

Endelea hivyo hivyo na inapoelekea anal sphincters zitakuwa hazikabi tena na bawasiri haiko mbali.
 
Shida inaanzia hapa "Nilipopanga choo sio privacy sanaa hivyo najitahidi kwenda kuliangusha mida ya saa5 au 6".Unapobanwa na haja kubwa unatakiwa kama kuna choo karibu fanya uwezavyo kwenda kujisaidia,unapoahirisha unasababisha maji mengi kukauka kwenye haja kubwa,kwani hapo kilipo ni kwenye utumbo mpana ambapo maji yanafyonzwa kwa kiasi kikubwa na kukifanya kiwe kigumu,sasa badilisha huo mfumo wako na uongezee hapo angalau tunda moja kwa siku,utakuja kunishukuru...
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…