Choo kikiwa hivi kinaashiria nini kwa binadamu?



Maelezo: Wakati mtu akitumia dozi ya malaria Kwinini
aagghhhrrr.!!!! nilijua choo "Kishundu/Msambwanda" nikaja fasta kumbe mnatuonyesha mavi halafu muda huu mimi nakula wali na dengu mmtthuuu.! nimeahirisha kula kabisa,
ila ngoja nikomenti kabisa kabla sijaondoka, ukiona mavi yako hivyo jua huyo aliyekunya kwisha habari yake namaanisha keshakufa tayari hivyo njoo fasta nikuuzie jeneza na sanda ili akianguka tu msije kuhangaika.!
 
Mpuuzi ww umenifanya nivheke kwa sauti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…