Hahahahahahaha..baba wa ubuyu ktika ubora.
Nashukuru mkuu. Kuna watu huwa hawaelewi namna ya kusaidiana. Wengine wanatukana pasipo kujua hili ni jukwaa la kidaktari ambapo kwa kuona unaweza kujua mwenzio ana shida ganiHivi siyo ini limefanya kazi kupitiliza kweli? Dawa, pombe hasa kali, madawa ya malaria, antibiotics huchosha ini na huanza kutoa choo chenye damu. Mimi siyo daktari ila nasoma sana majarida ya madawa. Nashauri kunywa maji kwa wingi, epuka vitu vinavyochosha ini na meditate.
Vipi umeipenda thread, mamaa mpe mushauri mwenzioHahahahahahaha..baba wa ubuyu ktika ubora.
Aise jana nilishindwa kabisa