Choose one

Haroun GWAHIYE

New Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
3
Reaction score
0
UKIWEKEWA NJIA MBILI

1. Njia ya kwenda pesa zilipo
2. Njia ya kwenda peponi

WAPI UTAENDA?

Dondosha comment
 
Fafanua vizuri mkuu kwani huwezi chukua vyote Kama ni kimoja basi Mimi ni peponi direct nikakutane na Yusuf handsome boy aliyekimbia wanawake anielimishe na Mimi kwann aliwakimbia 🤣🤣🤣🤣🤗
 
Kwa ninavyo amini mimi Pepo na Moto ni hapa hapa duniani! Kama ukiona unaweza ku afford basic human need na kukidhi mahitaji ya familia yako pasipo kukwama naamini hiyo ni pepo kabisa ila kama ukiona hata kazi kupata ni ishu na huwezi kujikimu ama kutimiza haja za familia yako tena za msingi kabisa basi ujue huo ni moto unaputia na amna rangi utaacha ona! Moja kwa moja naelekea kwny pesa hayo mengine yatafuata,
 
Fafanua vizuri mkuu kwani huwezi chukua vyote Kama ni kimoja basi Mimi ni peponi direct nikakutane na Yusuf handsome boy aliyekimbia wanawake anielimishe na Mimi kwann aliwakimbia 🤣🤣🤣🤣🤗
Kwanza peponi huitaji pesa…sina uhakika lakini 🤣🤣
 
Fafanua vizuri mkuu kwani huwezi chukua vyote Kama ni kimoja basi Mimi ni peponi direct nikakutane na Yusuf handsome boy aliyekimbia wanawake anielimishe na Mimi kwann aliwakimbia 🤣🤣🤣🤣🤗
😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…