Chopa iliyokodiwa Kenya kwa ajili ya kutumiwa na mgombea urais wa JMT kupita CCM badala yake imeanza kutumiwa na Kassim Majaliwa

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Hapa ni Ukerewe ambapo Kassim Majaliwa amefanya mkutano wa kampeni leo kwa kutumia Chopa.

Mkutano wa Majaliwa umepelekea mkutano wa Lissu kuchezewa figisu ambapo haujafanyika.
Hata hivyo Chopa hii ilikodiwa ili itumiwe na John Magufuli mgombea urais JMT kupitia CCM
Your browser is not able to display this video.
 
Mambo ya kuigaiga haya kuna siku yatawatokea puwani
 


Mkuu Oct twende na upinzani, Zanzibar maalim, Tanganyika Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…