..............sasa assume hiyo yetu ingekuwa imembeba MUHASHIMIWA RAIS INGAKUWAJI...sometimes hukatumia..
lazima utafiti ufqanywe..tupewe helicopter mpya 6....waliokufa wafidiwe..na maafisa waliozidhibitisha WAFUNGWE!!!!
Natamani ingekuwa imembeba rais.
Halafu? Tumefikishana huko Watanzania!
Naomba niulize: watoto walikuwa wanafanya nini katika helikopta ya kijeshi?
Na hata wale watu wazima waliopewa lifti nao ni ishu.
Najua Tanzania sio Marekani lakini Marekani polisi hawezi kumpa mke wake lifti kwenye Cruiser la polisi. Inabidi tujifunze hilo.
Hicho kitu ulicho uliza huwezi kukiona kinajadiliwa katika media ya Bongo.
Jamani mbona Prince William alitua chopa yake kwa shemeji yetu...? Nakumbuka wengine tulikuwa "tunadandia" sana hizi ndege za jeshi hasa za mizigo. Kuna moja waliweka na mabenchi ka' ya shule ya vidudu..