chopper ya kibongo taking shape

Ile yenyewe ya ATC ina injini ya kombi..,
Bila shaka itakuwa ikitumia petrol!!
 
And who would board the death trap that is a Tanzanian made chopper?
 
Imekuuma ehehe endeleeni na kibaka wemu aka Kamwanaa
 
Hii ndo picha ya chopper ya kibongo so acheni kuleta kejeri instead of kupongeza
 

Attachments

  • 1467443779947.jpg
    38.5 KB · Views: 48
Kenya ndio mmeanza kutengeneza vifaa tiba nilisoma makala flani kuhusu university of nairobi nadhan ni vyema......acheni kudharau dvp za tz kuhusu chopper mana shule hiyo bado hamjaanza kuifanyia kazi
 
Hii ndo picha ya chopper ya kibongo so acheni kuleta kejeri instead of kupongeza
hio picha umeweka hapo ni chopper ya kampuni ya bell ya marekani... tena iko na nambari ya usajili ya kenya ambayo hua inaanza na 5Y-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…