Chozi la Mkosaji

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Unamchunuku. Anakuchunuku. Ila ndio hivyo tena mlichelewa kukutana. Lililofungwa mbinguni limeshafungwa na duniani.
 
Hahaha! Labda kufuli ni la round,lol!
Sasa binamu, si bora iwe kizuizi cha mbinguni. Unamchunuku, anakuchunuku but there is a missing link and some things don't add up!
 
Hahaha! Labda kufuli ni la round,lol!
Sasa binamu, si bora iwe kizuizi cha mbinguni. Unamchunuku, anakuchunuku but there is a missing link and some things don't add up!

Oups! Basi kama vipi fanyeni maamuzi magumu. Kwani nini bana linapokuja swala la mapenzi milango mingine yote hufungwa.

inasemekana funguo la kufuli analo mtakatifu petro
 
King'asti achakachue nini wakati kimelea tayari????

Si huyo mtakatifu petero na funguo zake? Kuna fundi wa funguo pale magomeni ukimsimulia tu kufuli lilivyo na rangi yaks anamaliza mambo!

Khaaa!! Leo umepiga cha Arusha au Musoma?

Siku hizi nimeacha huyo makitu, nakula hasheesh zile za kihindi. Unazijua?
 
Ujue sio rizk yako ilobakia ushukuru mungu na muombe mungu kwa sana iliakupe mwengine zaidi ya yeye....
 
Last edited by a moderator:
Duh, pole Comp, haya mambo bana hayana formula.
Afu wazuri wote wamechukuliwa lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…