Chris Brown Atuhumiwa Kubaka

Chris Brown Atuhumiwa Kubaka

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Chris-Brown-Topshop-Event--1024x677.jpg

MWANAMUZIKI wa Marekani, Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown, ameachiwa huru na polisi bila dhamana jijini Paris, Ufaransa, baada ya kukamatwa na kuhojiwa leo, Januari 23, juu ya tuhuma za mwanamke wa Ufaransa aliyesema amembaka.

Baada ya kuachiwa msanii huyo alikanusha taarifa za mwanamke huyo kuhusiana na kumfanyia tukio hilo huku post hiyo ikiandamana na picha iliyokuwa na maandishi yaliyosomeka ‘This Bitch Lyin’.

“Nataka kuweka mambo sawa, huu ni uwongo, huku ni kunivunjia heshima kwa mwanangu na familia yangu kwa hadhi niliyonayo” aliandika Breezy kwenye akaunti yake ya instagram.

Insta-chris.jpg

Mwanasheria wa Chris Brown amefunguka na kusema kwamba madai yaliyokuwa yanamkabili msanii huyo si ya kweli, ni uongo mtupu.

Chris Brown anaruhusiwa kuondoka Ufaransa muda wowote kuanzia sasa kwa sababu hana kesi inayomkabili.
 
Noma sana tutakuja kujua ukweli baadae kama Rkelly.

Inawezekana aligongwa na huyo muhuni kwa makubaliano yao,anataka kutengeneza scene ya kupiga hela.

Anadai alibakwa,alikwenda kufuata nn chumbani mwa huyo muhuni tena akiwa peke yake maana inasemekana mwanzoni aliingia na rafiki yake,kama hakufuata mjegejo kafuata nn safari hii ya pili na kwenda peke yako.

Hao ni wajasiriamali wa ngono tu.
 
Kabisa kaliwa huyo sema Chris Kamruka mita 100 hahahaha.
 
Back
Top Bottom