Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule nigga kutoka state chris brown amedai anamzimikia kinoma noma mwana dada jlo na anapenda awe mpenz wake
Chris kadai huwa mda mwingi anaenda kwa jlo lakin huwa ana ogopa kumwambia YAAN UDOMO ZEGE KAMA WANAUME WA DAR
kadai huwa anamwangalia machon haiish yaan anapenda hata leo awe mke wake
Kuhusu umri wa jlo kuwa mkubwa kwa tofaut ya miaka 20 alidai yeye hilo hajali hata kama angekuwa na miaka na miaka 70 angemuoa tu
Chris kadai ashawah kumwandikia nyimbo za mapenz za kumtaka jlo kimafumbo lakin hakumwambia
JAMAA NI DOMO ZEGE KINOMA
LONDON BABY
CHANZO MISAGO