Better late than never. Jamaa anajua kwamba sasa hivi kuuza nyimbo zake itakuwa ni kazi kubwa bila kusafisha kiwingu kilichomzunguka kufuatia yaliyotokea February, 2009. Atapita katika vyombo vya habari mbali mbali na kuwekwa kiti moto kuhusu kiwingi hicho. Kisha wataka kujua kama Rihanna amemsamehe au la na akitamka tu kwamba amemsamehe basi mauzo ya nyimbo zake taratibu yataanza tena kupanda chart na si ajabu baada ya mwaka akawa amerudi tena kileleni. Lazima ajue kuucheza mchezo wa Public relation ili kujenga tena reputation yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.