Chris Lukosi katoa ushauri mzuri jinsi TRA wanavyokosa mapato

Hapa ndio unakuja kugundua akili ya muafrika ina shida
 
Watu tunabandari lakini tunanunua magari bei kubwa kuliko walio mbali na bandari kisa ushuru tu.
 
Angalia magari aina ya coaster enzi za Kikwete yalikuwa yanachezea 35ml lkn kipindi cha Magu yamepanda mpaka 80ml hii ni ajabu na nusu
 
Mimi nataka kununua lile hammer kubwa kubwa sijui bei gani wakuu naomba msaada wenu nalitaka sanaa
 
Angalia magari aina ya coaster enzi za Kikwete yalikuwa yanachezea 35ml lkn kipindi cha Magu yamepanda mpaka 80ml hii ni ajabu na nusu
Coaster m80!!! Hela ya Mercedes Benz sprinter hiyo mpya.
 
Tatizo la taasisi za nchi hii ni kutokujua wanataka nini hasa ??

Hivi lengo la kuweka kodi kubwa kwenye magari used ni kukusanya kodi kubwa au ku-discourage importation kubwa ya magari used ili watu wanunue magari mapya?????
Nadhani mkuu wanafanya ivyo kuondoa iyo kitu inaitwa dumping.
 
Mbona hakusema kipindi kile YESU wa kijani akiwa hai ili akabadilishe sheria za kodi bungeni, nae asituchanganye TRA Inasimamia sheria za kodi na kutoza kodi.

Apunguze unafiki wake wa kusifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…