Chris Mugalu kaelekea timu gani baada ya Simba kumtema?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Ntammis Sana Mk14 na the animal straiker, Mk14 kajiunga na Singida big stars na je Mugalu yeye kwenda wapi? Pia na Thadeo Lwanga nae kaenda wapi?
 
Mpira haupo hvyo hawa wachezaji wanapitia changamoto sana kwenye hizi team za simba na yanga sarpong nasikia huko anatupia tu watu wanapigana misumari.
Nasikia pale Simba, Boko ndo anahusika kuwapiga wenzie misumari na amebakishwa pale.
 
Mpira haupo hvyo hawa wachezaji wanapitia changamoto sana kwenye hizi team za simba na yanga sarpong nasikia huko anatupia tu watu wanapigana misumari.
Aisee
 
Mpira haupo hvyo hawa wachezaji wanapitia changamoto sana kwenye hizi team za simba na yanga sarpong nasikia huko anatupia tu watu wanapigana misumari.
Afadhali wamemuacha aende aendako.
 
Tumemchukua Wananchi! Na msimu huu ameahidi mwenyewe kutupia bao 20!

Mbona hata Amis Tambwe ilikuwa hivi hivi! Karibu nyumbani Chris Mushimba Mugalu. Na tarehe 13 utaanza pale mbele.
 
Nasikia pale Simba, Boko ndo anahusika kuwapiga wenzie misumari na amebakishwa pale.
Na pale yanga balama mapinduzi aliingia kichwa kichwa aliambulia kucheza mechi 5 tu kuna watu wanajua kupiga misumari kweli kweli .
 
Nasikia pale Simba, Boko ndo anahusika kuwapiga wenzie misumari na amebakishwa pale.
Kiufupi ukicheza hizi team kubwa ujipange kweli kweli ndo maana ufunguo umekataa kukaa hostel za avic town kashtuliwa mapema maana mbwembwe zote zingeisha.
 
nakushauri tu fatilia ya kwako ya wengine yatakufanya uchelewe ya kwako
 
Mugalu sitamani tena kumfatilia huyu mtu,akikosa magoli hata matatu yeye ni wa kucheka tu na kutafuna jojo.
Binadamu wanatofautiana namna yakusikitika.sio lazima tuwe na namna moja ya kusikitika.Inawezekana alikua anasikitika kuliko wale wanaofanya mbwembwe.Mugalu alikua vizuri yaliyotokea ni mambo ya mpira tu ndo maana bado anaweza akapata timu na akafanya vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…