Mugalu ni forward ambaye anahitaji atafuniwe yeye amaze tu. Ubora wake unaonekana kama ana viungo wazuri na mawinga wa kumlisha. Akipoteza mpira hakabi, hana kasi kabisa. Mechi zenye presha hatambi kabisa, ligi ya Mabingwa iliyopita kumbukumbu zangu zinaniambia kwamba alifunga mechi dhidi ya As Vita kwa mkwaju wa Penati. Ila sidhani kama alishawahi kuifunga Yanga wa Azam hapa Bongo. Kiufupi ni striker mwepesi kumkaba hana tofauti yoyote na mastriker wetu wa Kibongo. Kocha ndiyo kashampenda hakuna namna wacha tuendelee kuteseka.Ndio kipenzi cha kocha wako Gomezi.
Mwanzo mwisho yuko mchezoni na atafunga goli hivi karibuni.
Ha ha haJana amekabwa na yule dogo Kibwana akatulia ukiangalia tofauti za maombo yao unabaki una shangaa