Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

NIshakugongea shemu,ila tu leo umeniacha hoi! my hanei ananipenda mpaka basi.Hapo ile picha yangu nimekaa kwenye sofa miguu juu hujaiweka.
Muige mfano wake basi,wasaidieni wapenzi wenu!

Shosti hongera sana kwa kupata mume mjasiri na mwenye kuipenda familia yake, Nguli tuletee hiyo in red basi tuone mama ZD alivyorilaksi.
 
Halafu umependeza Xpin na hiyo tai,kweli najua kuchagua ,you are very smart and handsome!

Umesahau ulininunulia wewe siku ile tunatokea vekesheni. Mchumba kwa kuchagua wee ni hatari manake ukimwambia mtu hiyo ni prodakti ya Kiboroloni hawawezi kuamini.
 
umenifurahisha sana Xpini, nguli thought u would deny this....kwa nini? uko juu ile mbaya, mwanaume wa aina yake.

ZD umefanya kazi nzuri jamaa mpaka anakubali kulinywa limbwata mwenyewe!! nahisi hata ukisahau kumchanganyia huwa anakumbuka!!!

Na wewe kama huna mtu mimi niko idle nina urefu wa ft 3.5 nina kilo 89 nina elimu ya secondary ninakipato kizuri kama unataka picha sema nitaweka hapa sasa hivi n will tell the WHOLE FORUM MY LOVE 4U....nimeweka english ili unikubali .....
 
You can say it again. bht unakunywa nini? Mhudumuuuuuuu leta ndovu nne baridi hapa kwa bht! Infakti akisahau nalichanganya mwenyewe na kuligida kwa raha zangu!
 
Shosti hongera sana kwa kupata mume mjasiri na mwenye kuipenda familia yake, Nguli tuletee hiyo in red basi tuone mama ZD alivyorilaksi.

hehehe Lil Flower kila nikisoma hapa naona maandishi zaidi ya uliyoandika sijui yameenda wapi? LOL
 
Na wewe kama huna mtu mimi niko idle nina urefu wa ft 3.5 nina kilo 89 nina elimu ya secondary ninakipato kizuri kama unataka picha sema nitaweka hapa sasa hivi n will tell the WHOLE FORUM MY LOVE 4U....nimeweka english ili unikubali .....

subiri kwanza kuna application nyingine naikosinder hapa naona inafikia vigezo, ....wewe naona badohuo urefu wa futi 3 nukta 5 na uzito huo haviendani...ila nikibounce kabisa i might consider u...teh teh
 
In red hii hapa, halafu watu wa moshi wanapenda vitu vyenye nguvu sio vimisi vinavypeperushwa na upepo haviwezi kuendesha stout

eeehh, sasa nimeelewa why Xpin is a unique husband!!
 
Na wewe kama huna mtu mimi niko idle nina urefu wa ft 3.5 nina kilo 89 nina elimu ya secondary ninakipato kizuri kama unataka picha sema nitaweka hapa sasa hivi n will tell the WHOLE FORUM MY LOVE 4U....nimeweka english ili unikubali .....

hahahhaaa,shemeji bwana! unanichekesha na hiyo tafuta yako! Kwani kwenye jumuiya huwa huendi? kule wapo wengi.
 
In red hii hapa, halafu watu wa moshi wanapenda vitu vyenye nguvu sio vimisi vinavypeperushwa na upepo haviwezi kuendesha stout

kwi kwi kwi! shemeji kweli hujatulia,si nilikuambia lakini naweka apointiment kule gym kwako! najipanga tu kidogo nitakuja.teh teh!
 
You can say it again. bht unakunywa nini? Mhudumuuuuuuu leta ndovu nne baridi hapa kwa bht! Infakti akisahau nalichanganya mwenyewe na kuligida kwa raha zangu!

asante ngoja niende opoziti na signacha yako.....ntasave bia kwa kunywa maji.....

chaaaa, mpaka kulimix unalijulia? no joke hapo.....heshima yako!!!!
 
subiri kwanza kuna application nyingine naikosinder hapa naona inafikia vigezo, ....wewe naona badohuo urefu wa futi 3 nukta 5 na uzito huo haviendani...ila nikibounce kabisa i might consider u...teh teh

Wasicha wa JF wanabana? mh? ina maana mimi ndio last option? ukifeli kote ndio unakuja kwangu..... hata nyamayao alinikacha akaenda kwa kaizer, nikiwa PM hawa reply kabisa.
 
subiri kwanza kuna application nyingine naikosinder hapa naona inafikia vigezo, ....wewe naona badohuo urefu wa futi 3 nukta 5 na uzito huo haviendani...ila nikibounce kabisa i might consider u...teh teh

Please do consider him. Ni handsome hardworking man. Akikupeleka kwenye ile gym yake mwenyewe utapenda!
 
Chrispin nakushukuru naona labda nyota yangu itang'ra nilitaka nimchukue mdogo wake ZD sema anasomea doctorate mtu anamiaka 26 akifika miaka 30 atasomea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…