kwi kwi kwi! shemeji kweli hujatulia,si nilikuambia lakini naweka apointiment kule gym kwako! najipanga tu kidogo nitakuja.teh teh!
Hee huo sasa usiwe wivu kwa vile nguli ndio instracta.basi tutafanya na wewe,hili unasemaje?Uende gym kufanya nini! Hivyo ulivyo ndivyo nilivyokupendea. We unafikiria ukiwa kimbaumbau ile stout kwenye milima si itapinduka?
Please do consider him. Ni handsome hardworking man. Akikupeleka kwenye ile gym yake mwenyewe utapenda!
Wasicha wa JF wanabana? mh? ina maana mimi ndio last option? ukifeli kote ndio unakuja kwangu..... hata nyamayao alinikacha akaenda kwa kaizer, nikiwa PM hawa reply kabisa.
Chrispin nakushukuru naona labda nyota yangu itang'ra nilitaka nimchukue mdogo wake ZD sema anasomea doctorate mtu anamiaka 26 akifika miaka 30 atasomea nini?
Chrispin nakushukuru naona labda nyota yangu itang'ra nilitaka nimchukue mdogo wake ZD sema anasomea doctorate mtu anamiaka 26 akifika miaka 30 atasomea nini?
acha bana!!! jana ulimpigia chapuo goeff leo umehama?
aaah hueleweki na wewe!!!
Hahaha! Ile si ilikuwa thread ya kudanganyana? Hii ni for real! Mwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio.
hahahhaa, mpwa pale ulikosea tu ukaingia kwa mke wa mtu, sasa watoto ndo kama hao sasa....changamka
ruksa kupewa libwata na kama limbwata lenyewe la kheriHahaha! Limbwata ananipa nalinywa mwenyewe kwa raha zangu!
Ungekuwa dr. wewe ungeeua ujue? ungeniambia embu nenda nyumbani kapunzike una ukimwi au hujijui?
Ungekuwa dr. wewe ungeeua ujue? ungeniambia embu nenda nyumbani kapunzike una ukimwi au hujijui?
ruksa kupewa libwata na kama limbwata lenyewe la kheri
lakini huwa lina expire hilo
ZD you better check 4 ze expire date
Nipo makini FL1 na expire date,huwa naupdate kila mara,na zaidi ya hapo natafuta new version kabisaaaaaaaa.ruksa kupewa libwata na kama limbwata lenyewe la kheri
lakini huwa lina expire hilo
ZD you better check 4 ze expire date
Wakati mwingine eti huwa sie wanawake tukisema sitaki basi ujue ndio kinyume chake? hivi ni kweli?mie nipo straight (a spade is a spade not a big spoon)
ruksa kupewa libwata na kama limbwata lenyewe la kheri
lakini huwa lina expire hilo
ZD you better check 4 ze expire date
ha haaaaa! lol!!! nafwa mie